MAFUNZO YA ZIMAMOTO KUTOKA KWA POLISI
Katika jitihada za kuimarisha usalama wa shule na jamii, tulipata ugeni wa kipekee kutoka kwa maafisa wa polisi waliobobea katika huduma za kuzima moto. Wanafunzi pamoja na walimu (staff) walifundishwa kwa vitendo namna ya kuchukua tahadhari wakati wa moto, kutumia vifaa vya kuzimia moto kwa usahihi, na njia sahihi zaRead More →










